Category: Storybooks
Storybooks
Showing 106–140 of 483 results
-
How the Camel got his Hump by Story Moja by Muchemi
Original price was: KSh444.00.KSh400.00Current price is: KSh400.00.Add to cartA camel travels the desert collecting memories. When they become too heavy, what is a camel to do?
ISBN: 9789966620088
-
Huenda Nikabwia Sumu na Hadithi Nyingine by Zuhura Asman
Original price was: KSh278.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00.Add to cartKila binti darasani alimwangalia Ali kwa hamu ya kutoka kusemezwa tu.
Makubwa hayo! Mbona tulikuwa tuliyofanya mambo yaliyostahili kwa wakati ambao
haukustahili Ni dhahiri shahiri kuwa ulikuwa ni wakati wa kusoma wala si wakati wa kuchumbiana.
Zuhura Asman ni mkereketwa wa Kiswahili anayejikita katika kuendeleza lugha katika viwango vyote.
Hadithi zake nyingine ni Macho na Mwalimu Wangu MpenziISBN: 9789966188526
-
Hunchbacked Warrior Moran Grade Level 4 by Pearson
Original price was: KSh450.00.KSh405.00Current price is: KSh405.00. -
Hunchbacked Warrior Moran Grade Level 4 by Pearson
Original price was: KSh450.00.KSh405.00Current price is: KSh405.00. -
Hunter is Back by Kyalo
Original price was: KSh483.00.KSh435.00Current price is: KSh435.00.Add to cartNo matter how hard she tries, Rita’s fate is sealed. Political power, big money and betrayal in her family have all conspired to ruin her family. forever. After a regrettable past, a stressful present and a clearly bleak future, she has nothing to lose in the battle against the forces of evil ranged in her path. And the biggest question is: can she overcome them?
ISBN: 9780195736151
-
I See Everything 2f by Oxford ISBN: 9780195730395
Original price was: KSh255.00.KSh230.00Current price is: KSh230.00. -
Ian The Crime Buster by Ngumi Kibera
Original price was: KSh355.00.KSh320.00Current price is: KSh320.00.Add to cartIan and his mother live a colourless life in an abandoned village. An ordinary adventure on a rainy day leads him into the hands of a dangerous gang, and from that point on his and his mother’s lives are never the same. Read to find out the heroic actions the young man takes in an effort to save his mother that finally earn him the title Ian the Crime Buster.
Ngumi Kibera is a prolific writer who has published many titles for children and adults. His favourite audience is teenagers, for whom he weaves adventures that are as exciting as they are memorable. He is a past winner of the Jomo Kenyatta Award for Literature. Among his other titles is Worry Not Lisa! also published by Queenex Publishers.
ISBN: 9789966075499

Imarisha Lugha: Rehema awanasa wezi by Yahya Mutuku
Original price was: KSh322.00.KSh290.00Current price is: KSh290.00.Add to cartNi siku chache zimesalia shule ya msingi ya Darajani ifungwe.
Walimu na wafanyakazi wote wana mkutano wa mwisho wa mwaka.
Rehema kiranja mkuu anagundua kuwa wageni wanaofika shuleni si wageni wazuri.
Wameingia maktabani na wanaendelea kuiba vitabu. Je, Rehema atapata wapi ujasiri na maarifa ya kupambana na wezi?
Na je, atawaweza wezi hao ambao tayari wamepakia vitabu katika magunia? Hii ni hadithi isiyoweza kusomwa mara moja.
Anza sasa hivi!
Yahya mutuu ni mwandishi wa vitabu vingi miongoni mwavyo: Siri ya Baba yangu kitabu cha kwanza. Mwisho wa Ujambazl,
Sungura Hakimu na hadithi nyingine, Wema wa Sofi na Hadithi Nyingine na vingine vingi.ISBN: 9789966115027
-
Jaribu’s Choice 4M
Original price was: KSh244.00.KSh220.00Current price is: KSh220.00.Add to carthe readers for each class are specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course.
Here is a reading scheme that offers the modern pupil an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the pupil has fun that’s built to last.
Other titles for Class Four
4a Mister Todi
4b Ken Karo the Champion
4c A Shocking Landing
4d Moto Farm
4e No Escape
4f Giver Her a Chance
4g The King of All Fish
4h A for AIDS
4j The New Boy
4k Caught in the wax
41 Home at Last!ISBN: 9780195739282
-
Joseph’s Letters
Original price was: KSh500.00.KSh450.00Current price is: KSh450.00.Add to cartStories that teach life skills
This story is for children aged 11-14 years (Class 6-8). It is a book that helps children learn, develop resilience and self-identity.
Joseph Miremba is a 12- year old Ugandan schoolboy. Through a pen-pal programme, he starts writing to Nimara de Silva, a 12-year old girl studying in a Sri Lankan Catholic School. Nimara starts a letter-writing campaign. She writes to the leader of Rebel Army and to influential leaders around the world begging for Joseph’s release. She recruits her school friends, teachers and even total strangers from around the world to write the letters. In the meantime, Joseph struggles to survive as a child soldier. Will Nimara’s campaign bear any fruit? Will Joseph ever be set free?
-
Joto la Moyo by Story Moja by Wafula
Original price was: KSh466.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00.Add to cartBwire anaishi na nyanya na babu zake ambao hawana bee wala tee ijapokuwa wao ni wazazi wa daktari mashuhuri jimboni. Licha ya changamoto chungu nzima, Bwire ana ndoto maishani. Amefua dafu katika mtihani wa taifa wa Darasa la Nane. Atatoa wapi pesa za kusomea shule ya upili? Ndoto yake iatafifia?
Nyaya yake, Bi Zahara, anampasulia mbarika kuhusu hali iliyowakumba wazazi wake hata wakasalia mafuta na maji. Taarifa anayopata kwamba mama yake anaishi Eldoret inamchochea kefunga safari kuenda kumtafuta. Je, atampata mama yake?
ISBN: 9789966066619
-
Kajogoo 4c by EAEP
Original price was: KSh238.00.KSh215.00Current price is: KSh215.00.Add to cartStories in the Sunrise Reading Scheme
4a – The Lost Gazelle – P. Ikonya
4b – The Greedy Leopard – Lex Ikon
4c – Kajogoo – Laban Erapu
4d – Epuko’s Secret Home – Laban Erapu
4e – Kazungu and the Stolen Books – Joseph Maina
4f – Adventures of Mambo and his Sister – K. Ndirangu
4g – Day of the Pets – Karomo Ndirangu
4h – Samba and the Goat – Frank Odoi
4i – We Met a Grasshopper and Other Poems – P. IkonyaISBN: 9789966257161
-
Kalulu na Mti Mkavu 4e by Tangauko
Original price was: KSh267.00.KSh240.00Current price is: KSh240.00.Add to cartKalulu anampeleka ng’ombe wake sokoni kumuuza. Njiani, anapata mnunuzi wa ajabu ambaye ni mti wa mbuyu uliokauka.
Itakuwaje mti uuziwe ng’ombe?
Kalulu na Mti Mkavu ni kitabu cha wanafunzi wa darasa la nne katika shule za msingi. Kitabu hiki kinalenga kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.
Mradi wa kusoma ni vitabu vya ziada ambavyo vinaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.ISBN:9780195739589
-
Kanda ya Siri
Original price was: KSh722.00.KSh650.00Current price is: KSh650.00. -
Kanda ya Siri
Original price was: KSh655.00.KSh590.00Current price is: KSh590.00. -
Karamu 5 by “Bracey, Lieta”
Original price was: KSh266.00.KSh240.00Current price is: KSh240.00.Add to cartHadithi Sisimka ni msururu wa hadithi za watoto zilizoandikwa kwa lugha nyeusi na msamiati uliodhibitiwa ili kuwafaa watoto
ISBN: 9966363750

Katana na Mzee Kipara by Kamori
Original price was: KSh225.00.KSh203.00Current price is: KSh203.00.Add to cartBaba yake Katana na Rehema ni mkulima. Yeye ana shamba la mahindi. Mahindi yanaibiwa shambani hakuna mtu anajua mwizi ni nani. Katana na Rehema wakienda shuleni siku moja, mbwa wao anawafuata. Wakiwa njiani, wanawaona watu wawili shambani mwao.
Rehema na Katana wanajificha na kuwachungulia watu hao…..
ISBN: 9789966341877
-
Kebo the Cat 1j by Oxford
Original price was: KSh256.00.KSh230.00Current price is: KSh230.00.Add to cartThe NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course. There are ten readers for each class with each specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern pupil an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the pupil has fun that’s built to last.
ISBN: 9780195733570
-
Kesho! Kesho! 2E
Original price was: KSh256.00.KSh230.00Current price is: KSh230.00. -
Kick the ball 1X by Kariuki ISBN: 9780195741780
Original price was: KSh255.00.KSh230.00Current price is: KSh230.00. -
Kidasi and Aloli 5B by Lewela
Original price was: KSh238.00.KSh215.00Current price is: KSh215.00. -
Kidasi and Aloli 5B by Lewela
Original price was: KSh238.00.KSh215.00Current price is: KSh215.00. -
Kifimbo cheza 4c by Ahmed
Original price was: KSh267.00.KSh240.00Current price is: KSh240.00. -
Kijiji cha Haki by Storymoja
Original price was: KSh500.00.KSh450.00Current price is: KSh450.00.Add to cartBinti Kitabu anafunga safari ya kwenda Kijiji cha Maonevu kuakomboa wanakijiji dhidi ya maonevu ya Binti Maringo. Binti Maringo anatumia nguvu za kichawi kumtorosha
mumewe kutoka Kijiji cha Maonevu.ISBN:9789966622730
-
Kijiji cha Kisiwani
Original price was: KSh500.00.KSh450.00Current price is: KSh450.00.Add to cartMazimwi yanatoka baharini na kuwapapasa watoto hasa wa umri mdogo katika Kijiji cha Kisiwani. Watoto wanaugua na hatimaye wanatoweka. Mkazi wa kijiji jirani anawaonea huruma wakazi wa kisiwani. Soma na ufahamu jinsi wakazi walijikomboa kutoka janga la
mazimwi.ISBN:9789966622549

Kijiji cha Umoja
Original price was: KSh500.00.KSh450.00Current price is: KSh450.00.Add to cartMakabila ya Wavuvi na Wakulima yanawindana kama paka na panya,. Wakati wa uchanguzi, kila kabila linachagua mtu wao bila kujali sifa zake za uongozi.
Kiongozi mpya anapigania maslahi ya waliomchagua akipuuza kabila jingine. Uhasama unazuka miongoni mwa wanaobaguliwa .Athari za vita vya kikabila vinalemeza maendeleo ya eneo. soma kitabu hiki ufahamu jinsi binti kitabu anavyotumia maarifa kupatanisha makabila haya na kufufua maendeleo.
ISBN:9789966622594
-
Kijiji cha Ushindi
Original price was: KSh533.00.KSh480.00Current price is: KSh480.00.Add to cartBinti Kitabu ni mwanamke anayejitahidi kupigania haki za wanadamu na kuendeleza elimu ya vitabu. Anafanya hivyo kwa kuvikomboa vijiji mbalimbali dhidi ya maonevu na udhalimu wa viongozi waovu.
ISBN:9789966622747
-
King of all Fish 4g by E Kabaji
Original price was: KSh272.00.KSh245.00Current price is: KSh245.00. -
Kipengo 2b by Oxford
Original price was: KSh278.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00. -
Kito apepeta by Rebecca Nandwa
Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.Add to cartKito, msichana mdogo wa shule ya msingi, ana kipawa cha kuimba. Kila apatapo nafasi anakuza kipawa hicho. Mwalimu anapomtafuta mwanafunzi ambaye atamtumbuiza mgeni mkuu, wanafunzi wanamchagua Kito.Je, ataweza jukumu hilo? Kito Apepeta kimeandikwa kwa ustadi mkubwa. Kitabu hiki kinawalenga watoto wanaoanza kukamaa kwa lugha no fasihi. Kinaburudisha na kuwahimiza watoto kukuza vipaji vyao.
ISBN: 9789966788174

Kobi’s Winning Smile by Rebecca Nandwa
Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.Add to cartKobi loves to eat sweets. He loves sweets of all shapes and colours. One day, he gets a toothache. It is very painful and it makes him cry loudly. His mother takes him to the dentist.
The dentist advises Kobi to eat less sweets’and to brush twice a day. Kobi throws away his sweets and starts eating fruits instead.
Read the story to find out what hap,pens at school.
ISBN: 9789966075222